Hivi ndivyo inonekanavyo barabara ya Mabibo,jijini Dar es Salaam kutokea Morogoro Rd.njia hii imekuwa na mashimo ambayo kwa muonekano wa haraka haraka inaonyesha kuwa yalichimbwa na watu na sasa yameacha kama yanavyoonekana pichani.Wahusika mpoo???
Thursday, September 8, 2011

Home
Unlabelled
Barabara ya Mabibo yazidi kurembeshwa draft za mashimo
Barabara ya Mabibo yazidi kurembeshwa draft za mashimo
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment