Mdau Phillip Syplian na mai waifu wake Bi. Usu wakila kiapo cha ndoa yao takatifu iliyofanyika mwishoni mwa wiki,jijini Dar huku kushoto na kulia wakiwa ni wapambe wao wakishuhudia tukio hilo.
Mfanyakazi wa TBC,Phillip akiwa katika pozi la picha na Mkewe Usu mara baada ya kufunga pingu za maisha hapo jana.
No comments:
Post a Comment