mkurugezi wa taasisi ya THE FADHAGET DEVELOPMENT HOPE wanahousika na kusaidia jamii,kutunza mazingira, kupiga vita madawa ya kulevya, migogoro ya mke na mume, umasikini na njaa,Dr. Fadhili Emily (kulia) akikabidhi seti ya jezi la mipira kwa Mkurugenzi na Mlezi wa ACOT SPORTS CLUB ya Mtoni kwa Azizi Ally,Emmanuel Mwampishi kwa ajili ya kujiendeleza kimichezo kwa timu hiyo.
Baadhi ya Wachezaji wa timu ya ACOT SPORTS CLUB wakiwa wamevalia jezi hizo na kushika mpira waliokabidhiwa na taasisi ya THE FADHAGET DEVELOPMENT HOPE.
No comments:
Post a Comment