HABARI MPYA

Home Top Ad

Post Top Ad

Wednesday, August 17, 2011

Makamu wa Rais Dkt Bilal katika mkutano wa wakuu wa Nchi wanancha wa SADC nchini Angola

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohamed Gharib Bilal, akikagua gwaride la Majeshi ya Angola alipowasili uwanja wa ndege wa Nchio hiyo kwa ajili ya kuhudhuria mkutano wa wakuu wa Nchi wanancha wa SADC.
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akifuatilia mkutano wa wakuu wa nchi wanachama wa SADC uliofungiliwa leo Nchini Angola.
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akisalimiana na Waziri Mkuu wa Zimbabwe, Morgan Tsvangirai wakati walipokutana kwenye Ikulu ya Angola.Viongozi hao wapo nchini humo kuhudhuria mkutano wa Viongozi wa Nchi wanachama wa SADC ulioanza leo mjini Angola.
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akisalimiana na Mfalme wa Mswati wa Swaziland wakati walipokutana kwenye Ikulu ya Angola.Viongozi hao wapo nchini humo kuhudhuria mkutano wa Viongozi wa Nchi wanachama wa SADC ulioanza leo mjini Angola.

1 comment:

Post Bottom Ad