HABARI MPYA

Home Top Ad

Post Top Ad

Wednesday, August 3, 2011

maandalizi ya mwisho mwisho ya nane nane mkoani Mbeya

Jengo la halmashauri ya jiji la Mbeya katika hatua za mwisho tayari kwa maonyesho ya nane nane yanayozinduliwa rasmi leo mkoani Mbeya.
Chuo cha computer ZooM wakiwa katika hatua za mwisho tayari kwa maonyesho yanayoanza rasmi leo mkoani humo.
Vodacom wakimalizia jukwaa la maonyesho mbali mbali ya bidhaa zao.
Jengo la Veta likiwa limeshakamilika kwa maonyesho yatakayo zinduliwa rasmi leo mkoani Mbeya.
Nao akina dada hawapo nyuma kujiandaa kwa maonyesho hapo wakisukana nywele uwanjani hapo.
Baadhi ya mabanda yaliyokuwa yakimaliziwa kujengwa jana jioni ili kuwahi uzinduzi wa maonesho hayo leo.
CRDB wakiwa wameshakamilisha banda lao kwa ajili ya maonesho ya nane nane.

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad