Mchekeshaji wa maarufu nchini kutoka kundi la Vuvuzela Entertainment,Evans Bukuku akifanya vitu vyake usiku huu kwenye shoo yake iliyofanyika kwenye kiota cha Sweet Eazy.
Mchekeshaji wa Vuvuzela Entertainment,Ray akiwavunja mbavu watu waliohudhuria shoo ya Evans Bukuku usiku huu kwenye kiota cha Sweet Eazy.
Ray akiendelea kuvunja watu mbavu usiku huu kwa vichekesho vyake.
Dogo Pepe wa Vuvuzela Entertainment akiwa mzigoni usiku huu kwa kuwavunja mbavu watu lukuki waliohudhuria kwenye shoo yao usiku huu.
Kila alihudhulia shoo hakutoka bila kucheka maana wakali wa Vuvuzela Entertainment chini ya mkali Evans Bukuku waliweza kuwavunja mbavu watu wote waliofika kwenye shoo hiyo.
No comments:
Post a Comment