HABARI MPYA

Home Top Ad

Post Top Ad

Tuesday, August 9, 2011

Hali ilivyo mbaya huko UK

ANKAL HABARI,

HAYA NDIO YALIYOJIRI UK NA FUJO BADO LINAENDELEA TOKA LILIPOANZA SIKU MBILI ZILIZOPITA KUTOKANA NA KUPOTEZA MAISHA KWA KIJANA MMOJA ALIPIGWA RISASI NA ASKALI POLISI WA NCHI HIYO WALIPOKUWA WAKITUPIANA RISASI NA SASA BALAA LIMEHAMIA MIJI YA MANCHESTER KUTOKA LONDON BIRMINGHAM BRISTOL NA KADRI SIKU ZINAVYOZIDI KWENDA HUENDA LIKAFIKA HADI LEEDS.

MDAU UK.
Mwanamama akibaki kushangaa tu wakati duka lake likiteketea kwa moto kwenye vurugu kubwa inayoendelea hivi sasa nchini UK.
Mitaani hakupitiki maana gari zote zimekokwa moto.
Mabaki ya magari yaliyochomwa moto yakiwa yamepakiwa kwenye break down tayari kwa kwenda dampo.
hivi ndivyo mambo yalivyo

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad