Dala dala za mkoani Mbeya zimepandisha nauli kutoka sh 300 mapaka sh 1000 kituo hadi kituo kutokana na sababu ya kukosekana kwa huduma ya mafuta katika vituo vyote vya mjini mbeya,hali iliyopelekea wakazi wa jiji hilo kulalamika.
Hiki ni kituo cha mafuta cha BP Mbeya toka juzi wanasema hawana mafuta.Picha na-Mbeya yetu Blog
No comments:
Post a Comment