HABARI MPYA

Home Top Ad

Post Top Ad

Monday, August 15, 2011

bucha ya nyama wilayani kilosa

Mkazi wa Kata ya Ulaya, Wilaya ya Kilosa, Mkoa wa Morogoro, ambaye jina lake halikufahamika mara moja akikata nyama ya mbuzi iliyotundikwa katika kibanda cha Nyasi kwa ajili ya kuwauzia wateja wake waliopo katika Kata hiyo siku ya mnada uliofanyika jana eneo hilo, kama alivyokutwa.
Mkazi wa Kata ya Ulaya, Wilaya ya Kilosa, Mkoa wa Morogoro, ambaye jina lake halikufahamika mara moja akimhudumia mteja wake mara baada ya kununua nyama ya mbuzi iliyotundikwa katika kibanda cha Nyasi siku ya mnada uliofanyika jana eneo hilo, kama alivyokutwa.Picha na John Nditi wa Globu ya Jamii.

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad