Kamera ya Mtaa kwa Mtaa iliwanasa watu hawa ambao ni wakazi wa Tandale kwa mtogole na maeneo ya jirani na hapo wakisubiria usafiri katika eneo hili huku wengine wakiwa wameegemea kwenye nguzo za umeme zenye mashine za kufulia umeme bila kuwa na tahadhali ya usalama wao.
Wednesday, July 27, 2011

Home
Unlabelled
Wanasubiria Usafiri huku Usalama Wao Ukiwa Mashakani
Wanasubiria Usafiri huku Usalama Wao Ukiwa Mashakani
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Bongo hakuna Umeme kaka
ReplyDeleteTehteh Bongo Hakuna Umeme Kaka nzuri hiyo, Ila bado mie naona hapo wangezungushia mbao sababu kama tunavyojuwa wabishi hata ukiandika Hatari wao wataegemea tu wengi watasema hawajui kusoma kuonesha hata akili ya fikra hakuna... Bora kusaidia jamii wananchi hapo wachange wazungushie mabao japokuwa serikali ya jiji itakuja juu.
ReplyDelete