Mshambuliaji wa timu ya shule ya sekondari ya Goba, Hamisi Bundala (katikati) akikabiliana na mabeki wa timu ya Msongola, Hamisi Fungura (kushoto) na Arabi Yakub, wakati wa mchezo wa robo fainali ya ligi ya soka kwa vijana chini ya miaka 17 ya Airtel Rising Stars,uliofanyika katika uwanja wa Karume, Dar es Salaam hivi karibuni.
Mshambuliaji wa timu ya shule ya sekondari ya Goba,Pascal Mapunda akimtoka beki wa Msongola, Boniface Joseph wakati wa mchezo wa robo fainali ya ligi ya soka kwa vijana chini ya miaka 17 ya Airtel Rising Stars, uliofanyika katika uwanja wa Karume, Dar es Salaam hivi karibuni.
Mshambuliaji wa timu ya shule ya sekondari ya Msongola, Hussein Hamza akiwatoka walinzi wa Goba wakati wa wa mchezo wa robo fainali ya ligi ya soka kwa vijana chini ya miaka 17 ya Airtel Rising Stars,uliofanyika katika uwanja wa Karume, Dar es Salaam hivi karibuni.
No comments:
Post a Comment