HABARI MPYA

Home Top Ad

Post Top Ad

Friday, July 22, 2011

vodacom miss kanda ya mashariki

Washiriki 11 wa Shindano la Vodacom Miss Kanda ya Mashariki wanaotaraji kupanda jukwaani hii leo katika ukumbi wa Hotel ya Oasis wakiwa katika picha ya pamoja katika kambi yao ya mazoezi iliyopo Hoteli ya Usambara mjini Morogoro. Kampuni ya MD Digital Company itamzawadia Miss Photogenic katika shindano hilo.
Picha zaidi GONGA HAPA FATHER KIDEVU BLOG

1 comment:

  1. Oyaaa mbona hujaenda kucheka mss kinondoni?na performance ya Chaka khan inakuwaje nani atamrushia picha mkuu alaf mbonie alikua guest dj savanna lounge ya quality centre embu natafuta umbe wk! Cjalala tupoo macho na sellah my cerelac.

    ReplyDelete

Post Bottom Ad