HABARI MPYA

Home Top Ad

Post Top Ad

Friday, July 22, 2011

Maandalizi ya Sikukuu ya Mashujaa mkoani Mbeya

Askari wa JWTZ wa kikosi cha 44 KJ wakiwa mazoezini kwenye mnara wa kumbukumbu ya mashujaa jijini Mbeya leo. sikukuu hii itafanyika Mtwara kitaifa kesho
Bendi ya jeshi la Magereza wakiongoza gwaride
Wanajeshi wakiendelea na mazoezi kwa ukakamavu
Mnara huu wa majina ya Mashujaa waliokufa vitani upo katikati ya jiji la mbeya sijui kama nao wataukumbuka kuufanyia usafi maana umezungukwa na nyasi.  MBEYA YETU .

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad