Dah! utata upo sana ngudu yangu.inaelekea kiswahili kimekua, wapelekee wake jamaa wa TBC wanaochambua lugha ya kiswahili watusaidie zaidi. Kwani neno "tahadhari" ni onyo sasa anatuonya kwamba mbele kuna mashine ya kusaga? tusiende au? may be anania ya kufukuza wateja.
Hahahahaa, KUNA MASHINE YA KUSAGA NINI?...mbuta nanga" mepita tu..nakupa hi BLOGGER MWENZA...
ReplyDeleteDah! utata upo sana ngudu yangu.inaelekea kiswahili kimekua, wapelekee wake jamaa wa TBC wanaochambua lugha ya kiswahili watusaidie zaidi. Kwani neno "tahadhari" ni onyo sasa anatuonya kwamba mbele kuna mashine ya kusaga? tusiende au? may be anania ya kufukuza wateja.
ReplyDelete