HABARI MPYA

Home Top Ad

Post Top Ad

Friday, July 8, 2011

NGOMA INAPOGOMA KWENDA MNUSONI

leo katika pita pita zangu za Mtaa kwa Mtaa nilikuwana na hawa watu wakihangaika kusukuma gari lililogoma kuwaka wakati wakitaka kwenda kwenye sherehe ya harusi.hali iliyopelekea kila aliekuwepo ndani ya gari hilo kuteremka na kusukuma.

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad