kikosi cha Yanga
Kikosi cha St. George.
Beki wa pembeni wa timu ya Yanga,Godfrey Taita akiwania mpira na Beki wa timu ya St. George ya Ethiopia,Abebaw Butako katika mchezo wa nusu fainali ya Kagame-Castle Cup unaoendelea hivi sasa kwenye uwanja wa Taifa jijini Dar.mpaka hivi sasa hakuna timu iliyoweza kuona lango la mwenzake ikiwa ni dakika ya 38 ya mchezo.
moja ya mikiki golini mwa St. George.
Sehemu ya Mashabiki wa Yanga.
No comments:
Post a Comment