HABARI MPYA

Home Top Ad

Post Top Ad

Friday, July 29, 2011

Hepi besdei ya kuzaliwa mdau Fredy Njeje

Mdau Fredy Tony Njeje
Kwanza kabisa Tunamshukuru Mwenyezi Mungu kwa kutupa afya Njema na kutubariki mpaka tupo hapa muda huu, lakini pia tunapenda kuchukua nafasi hii ya Kipekee kabisa kutoa shukurani zetu za DHATI kwa Mabloga wote wa Tanzania kwa kutupa sapoti kubwa pale tulipo na tunapo hitaji msaada wao, hatutaweza kumtaja mmoja mmoja lakini Mungu awabariki sana.. mafanikio yetu ni mafanikio yenu pia na kwa wadau wote.. 

Baada ya kusema hayo timu nzima ya Tone Multimedia Company Limited Victor Luvena, Ernest Luseshelo Njeje, Joseph Mwaisango Sillah Mbuya  ambao ni wamiliki wa Mbeya yetu BlogTone Internet RadioLatest News Tz BlogCheka Upasuke Blog na Amazing Tanzania Tours Blog, pamoja na wadau wote tunachukua nafasi hii ya ki pekee kumpongeza Cheif Multimedia Architect Mr. Fredy Tony Njeje ambae leo anakumbuka siku yake ya kuzaliwa.


Tunamuombea maisha Marefu na Mungu amzidishie kipaji cha ubunifu na cha kipee alicho nacho,vile vile Tunampongeza sana kwa kuanzisha Radio ambayo ni ya kiteknorojia zaidi TONE INTERNET RADIO ni moja ya mafanikio yake makubwa tunamtakia afya njema.

Imetolewa na,Joseph MwaisangoPublic Relation OfficerTone Multimedia Company Limited

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad