HABARI MPYA

Home Top Ad

Post Top Ad

Sunday, July 10, 2011

BAJAJI VIDEO KOCHI......

Dereva wa Bajaji, ambaye hakupenda kujitambulisha jina lake, akiwa katika foleni la magari katika Barabara ya Nyerere wakati akitoka kumpeleka mteja wake maeneo ya Posta akirejea kijiweni kwake Vingunguti. Bajaji hiyo imefungwa Screen Tv na mziki mkubwa jambo ambalo litakushawishi kwa namna moja ama nyingi kuvutiwa na usafiri huo pindi utakapomkuta kijiweni kwake akisubiri wateja. Ubunifu wa aina hii ndiyo hasa unatakiwa kwa wajasiliamali si lazima vijana wote kusubiri kazi za kuajiriwa ama ukawa na kazi yako ukashindwa kuipenda "IPENDE KAZI YAKO BWANA", ndivyo alivyomalizia dereva huyu wa Bajaji.
 Hapa yupo katika mwendo huku akiburudika na muziki mkubwa mithiri yu ndani ya gari.
 Si unaona hata siti zake ndani zilivyo, ama kweli kijana huyu anaipenda kazi yake......

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad