HABARI MPYA

Home Top Ad

Post Top Ad

Thursday, June 23, 2011

SHUKRANI

 MAREHEMU KANDIDUS KOMBA
MAREHEMU MAGRETH KOMBA

FAMILIA YA BW. NA BIBI SALVATORY KOMBA (KAKA WA MAREHEMU)WA MBURAHATI DSM, KWA NIABA YA FAMILIA YA MAREHEMU KANDIDUS NA MAGRETH KOMBA WANATOA SHUKRANI KWA WALE WOTE WALIOUNGANA NAO KUWAFARIJI KWENYE MSIBA MKUBWA WA WAPENDWA WAO MAREHEMU KANDIDUS KOMBA NA MKEWE MAGRETH KOMBA WALIOFARIKI TAREHE 27/05/2011 KWA AJALI YA BASI, IGAWA- MBEYA NA KUZIKWA TAREHE 31/05/2011 UYOLE - MBEYA.

SHUKRANI ZA PEKEE ZIWAENDEE UTAWALA WA HOSPITALI YA WAZAZI META, OFISI YA MKURUGENZI WA WILAYA - MBEYA VIJIJINI, MAPADRE, NDUGU, JAMAA NA MAJIRANI WOTE WA UYOLE KWA KUFANIKISHA SHUGHULI ZA MAZISHI.

IBADA NA SHUGHULI ZA KUMALIZA MSIBA ZITAFANYIKA TAREHE 15/07/2011, NYUMBANI KWA MAREHEMU UYOLE- MBEYA.

BWANA ALITOA, BWANA AMETWAA JINA LAKE LIHIMIDIWE.

AMENI!

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad