HABARI MPYA

Home Top Ad

Post Top Ad

Thursday, June 23, 2011

NAPE ATEMBELA TBC

KATIBU wa Halmashauri Kuu ya Taifa ya CCM, Itikadi na Uenezi, Nape Nnauye akijibu maswali ya mtangazaji wa TBC Taifa, Joyce Kingalame alipotembelea studio za kituo hicho, Mikocheni mjini Dar es Salaam, jana. Kushoto pia ni mtangazaji wa kituo hicho, Shaaban Kisu.
KATIBU wa Halmashuri Kuu ya CCM, Itikadi na Uenezi, Nape Nnauye (wapili kulia) akizungumza na wasanii wa kundi la Orijino Komedi, katika studio za kituo cha Televisheni ya Taifa (TBC1), alipofanya ziara katika kituo hicho jana. Kutoka kushoto ni Mjuni Sylivery (Mpoki), Sekioni David (Seki) Lucas Mhuvile (Joti) na Emmanuel Mgaya (Masanja). (Picha na Bashir Nkoromo).

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad