Kamera ya Mtaa Kwa Mtaa jana ilibahatika kukutana na Mmoja wa Wadau wake wakubwa katika libeneke hilo mwenye makazi yake kule kwa Bibi (UK) afahamikae kwa jina la Mama Edith na hapa akiwa na familia yake katika bustani ya Forodhani visiwani Zanzibar.
Wednesday, June 22, 2011
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment