HABARI MPYA

Home Top Ad

Post Top Ad

Wednesday, June 22, 2011

MAMBO YAZIDI KUPENDEZA TAMASHA LA ZIFF VISIWANI ZANZIBAR

Mkurugenzi wa Tamasha la Kimataifa la Filamu Zanzibar (ZIFF),Prof. Martin Mhando (kushoto) akizungumza na kutoa ufafanuzi wa filamu ya BIGGIE and Tupac iliyotengenezwa na Nick Broomfield (kulia) ambayo moja kati ya filamu nyingi zenye mvuto na msisimko kwa watazamaji ambazo zinaendelea kuonyeshwa katika Tamasha hilo,Ngome Kongwe Zanzibar.
Kikundi cha Kucheza cha B. Six kutoka visiwani Zanzibar kikitoa burudani safi kwa wageni mbali mbali waliohudhulia Ngome Kongwe kufatilia Tamasha la Kimataifa la Filamu Zanzibar kikitoa burudani safi kabisa.
Kundi la Muziki wa Kizazi kipya la Off-Side Trick likiimba moja ya nyimbo zao.
Msanii wa Muziki wa Bongo Fleva,Juma Mataluma akilishambulia jukwaa sambamba na mmoja wa mashabiki aliepanda jukwaani kuonyesha umahiri wake wakati akitumbuiza pamoja na Bend ya T.H.T.
Wadau Kibao ndani ya Viwanja vya Ngome Kongwe,Zanzibar kushuhudia burudani mbali mbali zinazosindikiza Tamasha la Kimataifa la Filamu Zanzibar (ZIFF) linaloendelea kwa siku ya tano leo.


Ilikuwa ni furaka kwa kila mtu aliefika katika viwanja vya Ngome Kongwe.

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad