HABARI MPYA

Home Top Ad

Post Top Ad

Thursday, June 23, 2011

KCB TAWI LA MWANZA YAPANGA MICHE 750 YA MITI KATIKA SHULE YA MSINGI TUMAINI JIJINI MWANZA

Meneja wa KCB Tawi la Mwanza, Walter Lema akipanda mti aina ya mparachichi katika Shule ya Msingi Tumaini iliyoko eneo la Kigoto wilaya ya Ilemela Jijini Mwanza, huku walimu, wafanyakazi na wanafunzi wakishuhudia tukio hilo ambapo jumla ya miche ya miti 750 ilipandwa katika eneo la shule hiyo.
Mwalimu Mkuu wa Shule ya Msingi Tumaini, Wilhard Kamanzi (kulia) akimwonyesha maeneo ya shule hiyo Meneja wa KCB Bw. Walter Lema (kushoto). 
Mgeni rasmi katika tukio la Wiki ya Upandaji Miti kwa Benki ya KCB, Bw. Francis Mkabenga ambaye alimwakilisha Mkurugenzi wa Jiji la Mwanza akipanda mti katika Shule ya Sekondari Luchelele akishuhudiwa na wanafunzi wa shule hiyo. Jumla ya miche ya miti 750 ilipandwa katika eneo la shule hiyo.

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad