HABARI MPYA

Home Top Ad

Post Top Ad

Thursday, June 23, 2011

Grand Malt Tanzania Open Film Festival kuanza Juni 27 mjini Tanga

Mkurugenzi wa Sofia Production,Musa Kissoky (kulia) akizungumza na waandishi wa habari kwenye ukumbi wa habari maelezo kuhusu Tamasha la wazi la filamu nchini Tanzania litakalojulikana kama (Grand Malt Tanzania Open Film Festival) lililopangwa kuanza tarehe 27 Juni hadi Julai 3 Mwaka huu mjini Tanga. Katikati ni Meneja Masoko TBL, Fimbo Butallah na Kushoto ni Meneja wa Kinywaji cha Grand Malt Bi. Consolata Adam.

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad