HABARI MPYA

Home Top Ad

Post Top Ad

Saturday, June 25, 2011

HATIMAE KONA YA TABATA,BARABARA YA MANDERA RODI YAWEKEWA TAA ZA KUONGOZEA MAGARI

kilikuwa ni kilio cha siku nyingi kwa wakazi wa maeneo ya Tababa ambao walikuwa wakilazimika kuvuka barabara ya Mandera rodi kiujanja ujanja kutokana na kukosekana kwa taa za kuongozea magari,lakini sasa kilio cha kimesikika na kufanyiwa kazi.pongezi nyingi ziwafikie waliolifanikisha swala hili japo bado hazijaanza kupiga mzigo rasmi.

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad