Wadau hili lilikuwa tukio la kuadhimisha siku ya uwashwaji mishumaa ili kuwakumbuka watu waliopoteza maisha kutokana na ugoinjwa wa Ukimwi.
Maadhimisho haya yaliyoandaliwa na MUHAS pia yalishirikisha wadau mbalimbali kutoka taasisi na NGO's zinazopinga maambukizi mapya ya VVU nchini na kufanyika chuoni hapo Jumapili hii!
No comments:
Post a Comment