HABARI MPYA

Home Top Ad

Post Top Ad

Monday, May 16, 2011

NAZARETH NDEKIA NA CLARA MOKILI WAMEREMETA

Bw. Nazareth Ndekia na Mkewe Clara Mokili wakiwa katika nyuso za furaha mara baada ya kutawazwa kuwa mume na mke katika ndoa yao iliyofungwa katika kanisa la KKKT Kariakoo jijini Dar mwishoni mwa wiki.
Nazareth Ndekia akiwa kambeba mkewe Clara Mokili.
Nazareth Ndekia akimwaga wino mbele ya Mchungaji aliefungisha ndoa yao na bi Clara Mokili.
Clara pia akimwaga wino.
Maharusi pamoja na wapambe wao.
Ndafu akikatwa.
Picha ya Pamoja na Wazazi wa pande zote mbili.
Mzee wa Mtaa Kwa Mtaa akiongoza safu ya kuyarudi magoma mbele ya wafanyakazi wenzie na Bw. Harusi.
MC Lusajo akiangusha moja moja.
Da' Angella Msangi akipiga stori na Phillip Syplian ambaye nae ni Bw. Harusi mtarajiwa pamoja na bi. Harusi Mtarajiwa.
Wafanyakazi wenzie na Bw. Harusi wakiyarudi magoma katika sherehe iliyofanyika katika ukumbi wa Stallon uliopo Kawe karibia na viwanja vya mchezo wa Golf.
Wafanyakazi Wenzie na Bw. Harusi wakiwa kwenye picha ya pamoja na maharusi.

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad