HABARI MPYA

Home Top Ad

Post Top Ad

Sunday, May 15, 2011

UCHAGUZI WA VIONGOZI WA JUMUIA YA WANAFUNZI CHUO KIKUU CHA URAFIKI (LUMUMBA)-MOSCOW

Wanafunzi wote watanzania mnaosoma katika chuo kikuu cha Urafki(Lumumba) mnataarifiwa
kwamba form za kugombea uongozi wa T.S.U kwa wale wanaotaka zimeanza kutolewa.Mwisho wa kuchukua na kurudisha form ni tarehe 27/05/2011.

Nafasi za uongozi zitakazo gombewa ni:-

1.Rais wa T.S.U.

2. Makamu wa Rais wa T.S.U.

3.Katibu Mkuu wa T.S.U.
4.Katibu Mkuu msaidizi wa T.S.U.

5.Waziri wa Elimu.

6.Naibu waziri wa Elimu.

7.Waziri wa Fedha.

8.Naibu waziri wa Fedha.

9.Waziri wa utamaduni, michezo na masuala ya Jamii.

10.Naibu waziri wa utamaduni, michezo na masuala ya Jamii.

Form zinapatikana kwa Swilla L.M Block 6 room 467(namba ya simu +79264766204).

Pia zinapatikana kwa Shaha(Block 2 room 356 Namba ya sim +79269447590).

Uchaguzi utafanyika tarehe 29/05/2011 siku ya jumapili

Ni matumaini yangu kuwa mtajitokeza kwa wingi kuchukua fomu ili tupate viongozi makini,wachapakazi na waadirifu.

Swilla
Livingstone M.

(M/kiti tume ya uchaguzi T.S.U)

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad