HABARI MPYA

Home Top Ad

Post Top Ad

Friday, May 20, 2011

TBL YANYAKUA UBINGWA WA MAUZO AFRIKA

Kutoka kushoto ni Mkurugenzi wa Masoko wa Kimataifa,Nick Fell,Mkurugenzi wa Masoko wa TBL,David Minja pamoja na Mkurugenzi Mtendaji wa SABMillr Afrika katika Masoko, Mauzo na Usambazaji, Mark Bowman mara baada ya TBL kupata ushindi huo huko nchini Afrika ya Kusini.
Baadhi ya wafanyakazi wa TBL, wakiwa katika picha ya pamoja wakati wa hafla hiyo jijini Joburg, Afrioka Kusini.
Baadhi ya wafanyakazi wa Kampuni ya Bia Tanzania, wakifurahia tuzo hizo, wakati wa hafla ya kutoa tuzo iliyofanyika Jahannesburg Afrika Kusini hivi karibuni.
Mkurugenzi wa Masoko wa Kampuni ya Bia Tanzania (TBL), David Minja (kulia) akionesha kwa waandishi wa habari, Dar es Salaam leo,baadhi ya tuzo ambazo kampuni hiyo ilipata ilipata nchini Afrika Kusini, baada ya kuibuka washindi wa mauzo, masoko na usambazaji kwa kampuni 16 za SABMiller Afrika.Kushoto ni Meneja Usambazaji wa TBL Kanda ya Kusini, Reginald Mosha.
Maofisa wa Kampuni ya Bia Tanzania (TBL), wakiwa na tuzo mbalimbali ambazo kampuni hiyo ilizipata nchini Afrika Kusini hivi karibuni, baada ya kuibuka washindi wa mauzo, masoko na usambazaji kwa kampuni 16 za SABMiller Afrika.Kutoka kushoto ni Mkurugenzi wa Uhusiano na Rasilimali Watu, Steve Kilindo,Meneja Usambazaji Kanda ya Kusini, Reginald Mosha, Mkurugenzi wa Masoko, David Minja na Meneja Miradi Maalum, Emma Oriyo.

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad