
Miss Tanzania 2010, Genevieve Emmanuel akiwa amepumzika katika hoteli ya Victorious Perch muda mfupi baada ya kuwasili mkoani Kagera, mrembo huyo yuko katika ziara mkoani humo yenye lengo la kutembelea vituo vya watoto yatima vya Uyacho na Nusuru vilivyoko katika Manispaa ya Bukoba, kushoto ni Mratibu Msaidizi wa Kamati ya Miss Tanzania, Albert Makoye na kulia ni mpambe wake, Zakhia Ally.
No comments:
Post a Comment