HABARI MPYA

Home Top Ad

Post Top Ad

Thursday, May 19, 2011

MAKAMU WA RAIS AKAGUA MITAMBO YA UMEME PEMBA

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohamed Gharib Bilal, akisikiliza maelezo ya Meneja wa Shirika la Umeme la Pemba, Salum Masoud Saleh (kushoto), wakati alipotembelea shirika hilo lililopo eneo la Wesha, kwa ajili ya kukagua mitambo ya kuzalisha umeme, akiwa katika ziara yake ya kukagua maendeleo ya miradi ya Serikali mikoa ya Kaskazini na Kusini Pemba jana Mei 17, (katikati) ni Mkuu wa Mkoa wa Kusini Pemba, Juma Kassim Tindwa. Dkt. Bilal kesho Mei 19, anatarajia kuwa mgeni rasmi kwenye sherehe za maadhimisho ya Siku ya wauguzi zitakazofanyika kwenye Viwanja vya Mnazi Mmoja jijini.
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohamed Gharib Bilal, akisikiliza maelezo ya Meneja wa Shirika la Umeme la Pemba, Salum Masoud Saleh (kulia) , wakati alipotembelea shirika hilo lililopo eneo la Wesha, kwa ajili ya kukagua mitambo ya kuzalisha umeme, akiwa katika ziara yake ya kukagua maendeleo ya miradi ya Serikali mikoa ya Kaskazini na Kusini Pemba jana Mei 17, (kushoto) ni Mkuu wa Mkoa wa Kusini Pemba, Juma Kassim Tindwa. Dkt. Bilal kesho Mei 19, anatarajia kuwa mgeni rasmi kwenye sherehe za maadhimisho ya Siku ya wauguzi zitakazofanyika kwenye Viwanja vya Mnazi Mmoja jijini.
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohamed Gharib Bilal, akisikiliza maelezo ya Meneja wa Shirika la Umeme la Pemba, Salum Masoud Saleh (kushoto), wakati alipotembelea shirika hilo lililopo eneo la Wesha, kwa ajili ya kukagua mitambo ya kuzalisha umeme, akiwa katika ziara yake ya kukagua maendeleo ya miradi ya Serikali mikoa ya Kaskazini na Kusini Pemba jana Mei 17, (kulia) ni Mkuu wa Mkoa wa Kusini Pemba, Juma Kassim Tindwa. Dkt. Bilal kesho Mei 19, anatarajia kuwa mgeni rasmi kwenye sherehe za maadhimisho ya Siku ya wauguzi zitakazofanyika kwenye Viwanja vya Mnazi Mmoja jijini.Picha na Muhidin Sufiani-OMR

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad