HABARI MPYA

Home Top Ad

Post Top Ad

Thursday, May 19, 2011

KAMBI YA MISS UNIVERSE YAANZA RASMI LEO

Mratibu wa shindano la Miss Universe Maria Sarungi akiwapa maelekezo mbalimbali kuhusiana na shindano hilo mara baada ya warembo hao kuingia kambini leo katika hotel ya Golden Tulip jijini Dares Salaam, shindano hilo linategemea kufanyika mwishoni mwa mwezi huu lenye warembo 20 limedhaminiwa na Vodacom Tanzania.
Baadhi ya washiriki wa shindano la Miss Universe wakisoma kanuni na sheria za shindano hilo mara baada ya kuingia kambini leo,shindano hilo linategemea kufanyika mwishoni mwa mwezi huu na limedhaminiwa na Vodacom Tanzania.
Baadhi ya washiriki wa shindano la Miss Universe wakiwa katika pozi la picha mara baada ya kuingia kambini leo,shindano hilo linategemea kufanyika mwishoni mwa mwezi huu na limedhaminiwa na Vodacom Tanzania.

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad