HABARI MPYA

Home Top Ad

Post Top Ad

Thursday, April 7, 2011

YALE YALEEE......

Hivi hawa Jamaa watamaliza lini hizi haraka zao zisizokuwa na manufaa yeyotee??
Hebu ona hapa,yaani hadi mwenye side yake inamebidi akae pembeni ili kuepusha shari maana kama angekomaa yakuwa yale yaleee.....

2 comments:

  1. WANAENDELEA KUTUMALIZA TU! NA WATU KIMYA TU...HIVI KWELI HAMNA UFUMBUZI WOWOTE KUHUSU HILI SWALA? YAANI INASIKITISHA KWELI KUONA JAMBO KAMA HILI....TENA NDANI KABEBA ROHO NYINGI SANA, IKITOKEA UTASIKIA BAHATI MBAYA AU NI KAZI YA MUNGU, MBONA TUNAMSINGIZIA SANA MWENYEZI MUNGU. MIMI BINAFSI NINGEWEKA SHERIA KALI SANA TENA SANA KUHUSU HAWA WASHENZI MADEREVA WA MABASI NA MAFUSO.

    ReplyDelete
  2. Hawa jamaa sijui walítwe jina gani
    sheria za barabara wanazijua wewe ulie upande wa kushoto uwezi kumpita mwenzio ikiwa upande wako kuna alama ndefuuu ya mstalii mweupe.....hiyo ina maana uko kwenye kona au mtelemkoo uko uwendako,,,wanasubili ajali ikitopkea wanakimbia
    Dunda

    ReplyDelete

Post Bottom Ad