HABARI MPYA

Home Top Ad

Post Top Ad

Saturday, April 9, 2011

VODACOM FOUNDATION YAKABIDHI MADAWARI SHULE YA DARAJANI ZANZIBAR

KATIBU MKUU WA WIZARA YA ELIMU ZANZIBAR MWANAIDI ABDALLA (KULIA) AKIPEANA MKONO NA OFISA MKUU WA MASOKO NA MAHUSIANO WA KAMPUNI YA SIMU YA VODACOM TANZANIA MWAMVITA MAKAMBA MARA BAADA YA HAFLA FUPI YA MAKABIDHIANO YA MADAWATI KWA AJILI YA SHULE YA MSINGI DARAJANI.
OFISA MKUU MTENDAJI WA MASOKO NA MAHUSIANO WA KAMPUNI YA VODACOM TANZANIA MWAMVITA MAKAMBA (KUSHOTO) AKIMKABIDHI KATIBU MKUU WA WIZARA YA ELIMU ZANZIBAR, MWANAIDI ABDALLA MSAADA WA MADAWATI YALIYOTOLEWA NA VODACOM FOUNDATION KWA SHULE YA MSINGI DARAJANI VISIWANI HUMO.
KATIBU MKUU WA WIZARA YA ELIMU ZANZIBAR MWANAIDI ABDALLA (KUSHOTO) AKIPEANA MKONO NA OFISA MKUU WA MASOKO NA MAHUSIANO WA KAMPUNI YA SIMU YA VODACOM TANZANIA MWAMVITA MAKAMBA MARA BAADA YA HOTUBA YAKE ALIYOTOA KATIKA HAFLA YA MAKABIDHIANO YA MADAWATI YALIYOTOLEWA NA MFUKO WA VODACOM FOUNDATION KWA AJILI YA SHULE YA MSINGI DARAJANI
OFISA MKUU WA MASOKO NA MAHUSIANO WA KAMPUNI YA VODACOM TANZANIA MWAMVITA MAKAMBA AKIKAGUA MADARASA YA SHULE YA MSINGI DARAJANI AMBAYO WANAFUNZI WAMEKUA WAKIKAA CHINI.

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad