HABARI MPYA

Home Top Ad

Post Top Ad

Wednesday, April 6, 2011

UMOJA WA MATAIFA WAANDAA MKAKATI WA KUPAMBANA NA UKIMWI

Naibu katibu mkuu wa umoja wa mataifa (UN), Dk Asha Rose Migiro akiongea na waandishi wa habari katika Hotel ya Kilimanjaro Kempinski jijini Dar es salaam, wakati wa uzinduzi wa kampeni dhidi ya ugonjwa wa ukimwi hapa Tanzania.Kulia ni Mkurugenzi wa Shirika la Umoja wa mataifa la Kupambana na ukimwi (UNAIDS) Michel Sidibe na katikati ni Naibu waziri wa Afya na Ustawi wa Jamii, Dr. Lucy Nkya .
Baadhi ya washiriki na waandishi wa habari waliohudhuria katika uzinduzi huo wakimsikiliza Naibu Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa, wakati alipokuwa akielezea mikakati ya umoja wa mataifa dhidi ya mapambano ya Ukimwi.(Picha na FULLSHANGWE BLOG)

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad