HABARI MPYA

Home Top Ad

Post Top Ad

Tuesday, April 12, 2011

TANGAZO LA MSIBA

TUNASIKITIKA KUTANGA KIFO CHA DADA YETU MPENGA,ELIZABETH MWINGIRA (PICHAN) KILICHOTOKEA SIKU YA JUMAMOSSI NYUMBANI KWAKE TABATA DAR WEST.

MAREHEMU ANAZIKWA MCHANA HUU KATIKA MAKABURI YA KINONDONI JIJINI DAR.

MAREHEMU ELIZABETH AMEACHA WATOTO WAWILI PAMOJA NA MUME.

BWANA ALITOA NA BWANA ALITWAA.

JINA LA BWANA LIHIMIDIWE.

AMEIN.

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad