HABARI MPYA

Home Top Ad

Post Top Ad

Tuesday, April 12, 2011

Kituo cha Kimataifa cha Mikutano Arusha watoa Mipira kwa Makanda Andengenye

Afisa Itifaki na Uhusiano wa Kituo cha Kimataifa cha Mikutano Arusha (AICC), Rodney Thadeus (kulia) akimkabidhi mipira 10 Kamanda wa Polisi Mkoa wa Arusha (RPC) Thobias Andengenye (kushoto) jana katika ofisi ya kata ya Kaloleni, kwa ajili ya timu ya mpira wa miguu ya kata ya Kaloleni inayoshirki kombe ya Andengeye linalo hamasisha ulinzi shirikishi mkoani humo. Katikati ni Diwani wa kata hiyo, Charles Mpanda.

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad