HABARI MPYA

Home Top Ad

Post Top Ad

Thursday, April 21, 2011

SHINDANO LA MISS UNIVERSE KUANZA KUTIMUA VUMBI HIVI KARIBUNI

Ofisa Biashara na Masoko wa kampuni ya Vodacom Tanzania, Upendo Richard akizungumza na waandishi wa habari jijini Dar es Salaam wakati wa uzinduzi wa kuanza mchakato wa kumtafuta mrembo wa Miss universe mwaka huu. Uzinduzi huo ulifanyika katika hoteli ya Golden Tulip dar es salaam. Katikati ni Mkurugenzi wa kitaifa wa Miss Universe Maria Sarungi (kushoto) ni Mrembo anayeshikilia taji la Miss Universe 2010, Hellen Dausen.
Ofisa Biashara na Masoko wa kampuni ya Vodacom Tanzania, Upendo Richard (kushoto), Mkurugenzi wa Kitaifa wa Miss Universe, Maria Sarungi, (katikati) na Mrembo anayeshikilia taji la Miss Universe, Hellen Dausen, wakishikana mikono kuashilia uzinduzi rasmi wa shindano la Miss Universe linalotarajia kuanza hivi karibuni.

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad