HABARI MPYA

Home Top Ad

Post Top Ad

Monday, April 4, 2011

SALAMU ZA MDAU BARAKA CHIBIRITI KUTOKA SANTIAGO BERNABEU - MADRID


Mdau Baraka Chibiriti akiwa ndani ya uwanja wa Santiago Bernabeu.



Habari Mkuu, mambo yanakwenda?

Salamu sana kwa Wadau wa Mtaa kwa Mtaa, na wapenzi - mashabiki wa Timu ya Real Madrid. Na wadau wote wapenzi wa soka la mpira. Basi kwa wale wa Timu ya Madrid wape waone uwanja wao na salamu zangu kwa wingi sana. Kwakweli ni uwanja mzuri sana na wenye historia nzuri sana, ufikapo hapo lazima mwili ukusisimke tu.

Kwa picha zaidi tembelea: www.barakachibiriti.blogspot.com

Asante sana ni mimi mdau namba moja wa kijiji chako cha MTAA KWA MTAA.

SALAMU SANA.
CHIBIRITI.

Mdau Baraka Chibiriti akiwa kwenye benchi la ufundi na rafikiye Dorina.

Mdau Chibiriti akiwa nje ya uwanja wa Santiago Bernabeu.



No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad