
Nyumba ya kisasa na yenye hadhi nzuri inapangishwa.
Ipo Bagamoyo Mjiji, Block P.
Inafaa kwa kuweka Ofisi,Hoteli au Hostel.
Inajumla ya vymba 16
kwa mawasiliano zaidi
+255 713 290 762
au
+255 787 254 788
pia unaweza kuwaandikiwa kwa barua pepe
haidertwahir@yahoo.com

Sehemu ya kibaraza.

Moja ya Vymba vilivyomo ndani ya nyumba hii.

Korido.....

Sehemu ya nyuma ya nyumba hiyo.

Sehemu ya Kuhifadhia maji.

Ukuta wa nje.
No comments:
Post a Comment