hapa hii gari imesimama ikimsubiria konda wake ambaye yuko juu alifunga vizuri godoro la abiria wake huku magari mengine yakilazimika kupanga foleni kwa uzembe wa mtu mmoja.
hivi ni lini mambo yatakuwa poa hapa nchini kwetu na kudhibitiwa kwa madereva wazembe kama hawa??
No comments:
Post a Comment