Arsenal

eehhh.....!!! mjomba utavunja miguu hiyoo,unapiga penati kama unaugomvi na golikipa wetu!!?? hapa mchezaji wa Real Madrid ya bongo akipiga penati dhidi ya Liverpool ambapo hiyo mikwaju ya penati ndio iliyotutoa kutokana na nyanda wetu kutokuwa fiti siku ya leo.yaani bahati yao kweli kweli hawa jamaa,maana wametokea kwenye tundu la sindano.

Midfield wetu huyooo......

benchi la ufundi likitafakari mbinu ya ushindi.

hafu taimu watu wakidiskasi namna ya ushindi utaklavyopatikana.(huyo dogo wa kidosi hapo kati sijui katumwaaa????,au ndio waliokuwa wakituminyia ili tusishinde leo?? kaone kwanza). Utaniii kidogo.

Ankal Albert Makoye wa Man U.......


Hivi kwanini nyie wa Man U msiende kwenye Masumbwi tu,,maana kidogo tu ngumi mkononi.hebu chekini sasa haya mambo hapa.

Mazungumzo ya hapa na pale yakiendelea ndani ya viwanja vya Lidaz klabu leo.

Wengine walipatwa na huzuni sana huku mawazo yakitawala kichwani mara baada ya Chama letu kutolewa katika mashindano kwa FITNA nyingi sana.


Mie kati nikiwa na Moshy a.k.a Kimodo wa Clouds Fm pamoja na Rafikiyee.

No comments:
Post a Comment