HABARI MPYA

Home Top Ad

Post Top Ad

Thursday, April 14, 2011

KUMBUKUMBU

MAREHEMU MZEE GEORGE SEYAYI WAKATI WA UHAI WAKE.

MPENDWA BABA YETU GEORGE B. Z .SEYAYI, ILIKUWA SIKU, MWEZI NA HATIMAYE LEO TAREHE 14/4/2011 UMETIMIZA MIAKA 18 TOKA UTUTOKE KATIKA DUNIA HII.TUNAFARIJIKA KWASABABU TUNA AMANI UKO PAMOJA NASI KIROHO SIKU ZOTE.

BABA HAKUNA SIKU IPITAYO KWETU BILA KUKUMBU KWA UPENDO NA UKARIMU WAKO,USHAURI MWEMA, MISIMAMO BORA NA BUSARA ZAKO KATIKA KUTULEA NA KUTUUNGANISHA SISI WANAO NA FAMILIA PAMOJA,BUSARA ZAKO ZIMEKUWA DIRA NA NURU KATIKA MAISHA YETU.TUNAENDELEA KUKUOMBEA NA TUNAENDELEZA YALIYO MEMA KWA WAJUKUU ZAKO UPUMZIKE KWA AMANI.

DAIMA UNAKUMBUKWA NA WATOTO WAKO:

BULOYA,PHILIP,LUKA,MARIAM, WADOGO ZAKO WOTE,NDUGU JAMAA NA MARAFIKI PAMOJA NA MKE WAKO MATILDA GEORGE SEYAYI .DAIMA TUTAKUKUMBUKA MILELE.

BABA TULIKUPENDA SANA, LAKINI MUNGU BABA WA MBINGUNI ALIKUPENDA ZAIDI.BWANA ALITOA NA BWANA AMETWAA JINA LA BWANA LIHIMIDIWE

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad