Habari zenyuu banaaaaaa!!!
I hope mko poa kabisa kuianza weekend.
Huo hapo ni mzigo mpya kabisa kutoka Nigeria na Tanzania, dada yetu Elizabeth Gupta akishirikiana na shemeji yetu Kevin Pam ( Mshindi wa BBA 2009) pamoja na stitched waameachia video yao mpya ” Unapata Mambo” iliyofanyika TZ and Nigeria. Tupia hapo raia wafurahi!!!
Thank you on behalf of Kevin and Lizzy!!
No comments:
Post a Comment