Mzee akiwasili toka kuvua samaki katika ufukwe wa beach ya kawe jioni ya leo.Msela akibalizi upepo wa beach.Wazee wa kazi wakiwasili.Wanunuzi wa Samaki wakiwa wameizunguka moja ngalawa iliyokuwa imewasili muda huo kutoka kuvua samaki.
No comments:
Post a Comment