
Kituo cha Daladala cha Mbezi mwisho kikiwa kimesheheni madaladala.

Biashara ya Matunda imechanganya Mbezi Mwisho.

Mitumba kibao inapatikana Mbezi mwisho,yaani ushindwe mwenyewe.unaweza kununua hata ukiwa ndani ya basi kuelekea mikoani iwapo utakuwa umesahau pamba zako.
No comments:
Post a Comment