tatizo la ajali nyingi za jiji hili ni kwamba madereva wengi hawajui sheria za usalama barabarani,pili ni kwamba waendesha magari wengi si madereva ila wamenunua leseni au wamepewa bila kuzingatia sifa na hawakupitia mafunzo.Mwaipungu George Mr.
tatizo la ajali nyingi za jiji hili ni kwamba madereva wengi hawajui sheria za usalama barabarani,pili ni kwamba waendesha magari wengi si madereva ila wamenunua leseni au wamepewa bila kuzingatia sifa na hawakupitia mafunzo.
ReplyDeleteMwaipungu George Mr.