Miss Progress International, ambaye pia ni Mkurugenzi wa Progressive Foundation, Julieth William, akimkabidhi msaada wa Sh. Milioni 1.4 mtoto Maria Raulian, kwa niaba ya watoto wenzake wenye ulemavu wa ngozi kwa ajili kusaidia kununua mavazi ya shule (Uniform) za watoto 30 wanaosoma shule za msingi, hafla hiyo ya makabidhiano ilifanyika jijini Dar es Salaam leo. Katikati ni Mwakilishi wa Ofisa Ustawi wa Jamii wa Manispaa ya Ilala, Rachel Katemi.
Friday, April 1, 2011

Home
Unlabelled
Miss Progress International akabidhi fedha kwa watoto wenye ulemavu wa ngozi leo
Miss Progress International akabidhi fedha kwa watoto wenye ulemavu wa ngozi leo
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment