HABARI MPYA

Home Top Ad

Post Top Ad

Friday, April 22, 2011

ASKARI POLISI WAHITIMU MAFUNZO YA UONGOZI ZANZIBAR

Kikosi cha askari waliomaliza mafunzo ya uongozi ya miezi mitatu wakiwa katika gwaride rasmi la kuhitimu mafunzo hayo.
Waziri wa nchi Ofisi ya Makamu wa kwanza wa Rais, Fatma Habibu Fereji akimvisha cheo cha Sajenti askari ElivoBrown Mwailafu wakati wa hafla ya askari hao waliohitimu mafunzo ya uongozi .
Waziri wa nchi Ofisi ya Makamu wa kwanza wa Rais, Fatma Habib Fereji akimkabidhi cheti askari Polisi wa kike aliyemaliza mafunzo ya uongozi katika chuo cha Polisi Zanzibar.Picha na Yussuf Simai- Habari Maelezo Zanzibar

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad