HABARI MPYA

Home Top Ad

Post Top Ad

Sunday, March 20, 2011

Waziri Nchimbi akutana na viongozi wa michezo

Waziri wa Habari, Vijana Utamaduni na Michezo Mh. Emmanuel Nchimbi, akizungumza na viongozi wa vyama vya michezo wakati alipokutana nao kwenye uwanja wa Uhuru jijini Dar ili kupata taarifa mbalimbali zinazohusu michezo hiyo pamoja na matatizo na mipango yao na kuwaahidi kuyafanyia kazi.
Mwenyekiti wa Chama cha mchezo wa Tenes Inga Njau akitoa mada katika mkutano huo.
Makamu Mwenyekiti wa Chama cha mpira wa kikapu (BFT) Bw. Phares Magesa akitoa mada katika mkutano huo.
Mkurugenzi wa Michezo katika Wizara ya Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo, Bw. Leonard Thadeo akitoa mada katika mkutano huo, uliowakutanisha viongozi wa vyama vya michezo pamoja na Waziri wa Habari, Vijana, Utamaduni, Mh. Dr. Emmanuel Nchimbi.
Baadhi ya washiriki wa michezo waliofika katika mkutano huo.

Picha na Full Shangwe Blog

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad